Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : Sauti ya Mwanakijiji

Sauti ya Mwanakijiji

Language: Unknown
Category: News and Politics /
Visit Website

-

Sauti ya Mwanakijiji|Nani ashinde, nani ataamua mshindi? Episode

Ni mgongano wa kihistoria ambao ulipaswa kutokea. Ni mgongano ambao hutokea mahali popote panapokuwa na tofauti kubwa kati ya watawala na watawaliwa. Ndivyo ilivyokuwa kwenye Mapinduzi ya Ufaransa, Mapinduzi ya Marekani na Mapinduzi ya Bolshevik (Urusi). Ni yale yale yaliyotokea na kusababisha mapinduzi ya Cuba yaliyomuingiza Castro madarakani. Ndiyo! Ni yale yale yaliyotokea pia kwenye mapinduzi ya Zanzibar! Migongano ya namna hiyo asili yake mara zote ni pale wananchi wanapotambua kuwa hawana usawa na watawala wao na ya kuwa tofauti ya maisha yao na yale ya watawala ni kubwa mno na ya kwamba mwananchi wa kawaida anajikuta hana nafasi yoyote aidha ya kufanikiwa au ya kuweza kuishi maisha yenye utu, usawa, haki na heshima. Nchi chache zimeweza kupitia mgongano huo kwa njia ya nguvu (kama mifano niliyotoa) au kama ilivyotokea huko Ukraine na Georgia miaka ya karibuni kwa njia ya nguvu ya umma. Tanzania yetu inapitia mgongano huo katika hatua zake za awali. Silaha ambayo wananchi wanatumia leo hii ni nguvu yao ya hoja na wanatarajiwa kubadilisha serikali yao kwa nguvu ya kura. Hata hivyo hilo halitakuwa rahisi kwani dalili yote inaonesha kuwa watawala hawako laini kuruhusu mabadiliko makubwa ya kiutawala yenye kupendelea wananchi wa kawaida. Hivyo, mgongano unaendelea. Swali ni nani ashinde? Na ni nani ataamua mshindi!? Nisikilize:

[ Thu, 07 May 2009 04:42:19 GMT ]


Listen

Download



Listen on your iPhone







O2 Arsenal Podcast
Sports
Listen to all the build-up ahead of Arsenal's next match with the O2 ARSENAL PODCAST!Dan Roebuck will bring you news, interviews and features before every Arsenal fixture - plus the chance to win great prizes in our exclusive competitions.


Happy House of Hentai
Arts
The weekly show for hentai news & reviews!


Ultima Thule Ambient Music Radio
Alternative
A weekly programme of ambient and atmospheric music from across the ages and around the world, broadcast on Australian public radio since 1989. Ultima Thule features a blend of ambient, trance, drone and chillout electronica, spacemusic, ancient, mediaeva


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us