Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : Sauti ya Mwanakijiji

Sauti ya Mwanakijiji

Language: Unknown
Category: News and Politics /
Visit Website

-

Sauti ya Mwanakijiji|Mwakyembe aunguruma "Mashtaka yanayoletwa ni mepesi" Episode

Mbunge wa Kyela na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe amesema kuwa mashtaka mbalimbali yanayoletwa hivi sasa dhidi ya watuhumiwa mbalimbali wa ufisadi bado ni "mepesi" na anatajia kuwa baada ya uchunguzi kufanyika zaidi mashtaka hayo yatabadilishwa na kuwa mazito yakiwemo yale ya sheria ya Uhujumu uchumi.Hayo na mengine mengi ameyasema katika mahojiano yake na KLHN ya mwanakijiji.com ambayo yalirushwa moja kwa moja siku ya Jumapili. Unaweza kuyasikiliza mahojiano yote tena kwa kutembelea kwa kubonyeza kiungio hapa chini.Wakati huo huo ofisi ya Waziri Mkuu imetoa ufafanuzi juu ya kauli za Waziri Mkuu alizozitoa hivi karibuni huko kanda ya ziwa ambapo ilidaiwa alisema mambo ambayo yanayoonekana kutia shime watu kujichukulia sheria mkononi. Unaweza kusoma majibu hayo na maswali ambayo tuliyatuma kwao mahali pekee kwenye http://www.mwanakijiji.comLicha ya majibu hayo msimamo wangu ulioko kwenye kijarida cha "Cheche za Fikra" na mapendekezo ninayoyatoa kwenye gazeti la Tanzania Daima la leo bado yanasimama.M. M. Mwanakijiji

[ Wed, 28 Jan 2009 06:03:17 GMT ]


Listen

Download



Listen on your iPhone







Wade E. Butler
Philosophy
Orthodoxy Transforming offers a collection of short (10 minutes or less per episode) easy-to-understand guided teaching describing a new sort of spirituality which merges orthodox Christianity with Universal spirituality and practices. Orthodoxy Transforming seeks to offer at least part of the solution of the re-adaptation of the Christian Church to the modern era of spiritual transformation.


Hipsters United

News, speculation, and discussion about The Smashing Pumpkins, their music, and their legacy. http://www.hipstersunited.com


Press Start
Video Games
The weekly podcast for gaming news, impressions, reviews, and alcohol fueled rants as delivered by Richey and Schlep. Live recording and pre-show take place 11:00 PM CST at justin.tv/pressstart.


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us