Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : Sauti ya Mwanakijiji

Sauti ya Mwanakijiji

Language: Unknown
Category: News and Politics /
Visit Website

-

Sauti ya Mwanakijiji|Exclusive: Dr. Slaa azungumzia yaliyojiri Mbeya Vijijini Episode

Mwishoni mwa mwaka jana nilipata nafasi ya kuzungumza na Bongoradio.com kuhusu masuala mbalimbali ya kufunga mwaka. Ninawaletea sehemu kidogo ya mahojiano hayo pamoja na mahojiano niliyoyafanya na Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu-Chadema) kuhusu kilichosababisha mgombea wao msomi mwanasheria Bw. Sambwee Shitambala kushindwa kufuata taratibu rahisi za kuapa kabla ya kushirki uchaguzi huo mdogo. Baada ya kusikiliza mahojiano hayo piga kura na upande wa kulia wa tovuti hii na utoe maoni yako ni nini unafikiri kilitokea Mbeya Vijijini. Unaweza kusikiliza mahojiano kwa kuingia kwenye "Podcasts" kwa kubonyeza herufi ya "M - Podcast" upande wa kulia wa ukurasa wa mbele wa tovuti yetu Kisha angalia miaka na tarehe ya onesho. Kwa mawasiliano mengine yote tuandikie mwanakijiji@mwanakijiji.com na kwa kutaka kujiandikisha kijarida cha bure cha "Cheche za Fikra" tuandikie mhariri@klhnews.com M. M.

[ Wed, 07 Jan 2009 03:43:55 GMT ]


Listen

Download



Listen on your iPhone







Wade E. Butler
Philosophy
Orthodoxy Transforming offers a collection of short (10 minutes or less per episode) easy-to-understand guided teaching describing a new sort of spirituality which merges orthodox Christianity with Universal spirituality and practices. Orthodoxy Transforming seeks to offer at least part of the solution of the re-adaptation of the Christian Church to the modern era of spiritual transformation.


Hipsters United

News, speculation, and discussion about The Smashing Pumpkins, their music, and their legacy. http://www.hipstersunited.com


Press Start
Video Games
The weekly podcast for gaming news, impressions, reviews, and alcohol fueled rants as delivered by Richey and Schlep. Live recording and pre-show take place 11:00 PM CST at justin.tv/pressstart.


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us