Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : Sauti ya Mwanakijiji

Sauti ya Mwanakijiji

Language: Unknown
Category: News and Politics /
Visit Website

-

Sauti ya Mwanakijiji|Mwaka 2008: Mwaka watawala walipopigishwa magoti! Episode

Mwaka wa 2008 ndiyo huo umefikia ukingoni. Na pamoja nao ni matamu na machungu yote, furaha na huzuni, kicheko na kilio! Ni mwaka ambao umeweka historia nyingi katika nchi yetu na nje ya nchi! Hata hivyo ya nchi nyingine tutawaachia wengine, lakini kwetu sisi wenyewe tunaweza kusema pasipo shaka yoyote ile kuwa mwaka huu ulioisha ni mwaka ambapo watawala walipigishwa magoti na watawaliwa! Jinsi gani unaweza kuuliza; sikiliza tafakari yangu ya kufunga mwaka 2008. Nakutakia wewe na vyote vilivyo vyako heri na fanaka za mwaka mpya! Kwa wale ambao bado wanamwelekeo wa ufisadi na ambao bado hawajajifunza yaliyotokea mwaka huu unaoisha, kwao nawaambia, tukutane 2009! M. M. Mwanakijiji Ungana na wanakijiji wenzako! : http://www.mwanakijiji.com

[ Wed, 31 Dec 2008 07:06:28 GMT ]


Listen

Download



Listen on your iPhone







Wade E. Butler
Philosophy
Orthodoxy Transforming offers a collection of short (10 minutes or less per episode) easy-to-understand guided teaching describing a new sort of spirituality which merges orthodox Christianity with Universal spirituality and practices. Orthodoxy Transforming seeks to offer at least part of the solution of the re-adaptation of the Christian Church to the modern era of spiritual transformation.


Hipsters United

News, speculation, and discussion about The Smashing Pumpkins, their music, and their legacy. http://www.hipstersunited.com


Press Start
Video Games
The weekly podcast for gaming news, impressions, reviews, and alcohol fueled rants as delivered by Richey and Schlep. Live recording and pre-show take place 11:00 PM CST at justin.tv/pressstart.


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us