Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : Sauti ya Mwanakijiji

Sauti ya Mwanakijiji

Language: Unknown
Category: News and Politics /
Visit Website

-

Sauti ya Mwanakijiji|Huu si wakati wa kukata tamaa! Episode

Bila ya shaka mlolongo wa matukio kadha wa kadha unaweza kumfanya mtu yeyote kushika tama na kukata tamaa. Hasa inapotokea matukio ambayo yanaihusu nchi yetu. Msururu wa kashfa ambazo zimeiandama nchi na viongozi wetu bila ya shaka vinaweza kukufanya ujisikie mpweke na mnyonge na zaidi kuweza kujiuliza "Tanzania ina matatizo gani?". Kwa wengine kujiuliza swali hili kunaendana na hisia ya kuachwa peke (abandonment) na kukata tamaa (despair). Na zaidi ya yote kuna wengine ambao wanaweza kujihisi kuvunjwa moyo (discouraged) na hivyo kuona kuwa hakuna lolote na chochote kinachoweza kufanyika Tanzania ambacho kinaweza kuturudisha kwenye matumaini? Je huu ndio wakati wa kukata tamaa na kuwaachia mafisadi wafanye wapendavyo? Je huu ndio wakati wa kukubali viongozi wabovu na wasio na uwezo alimradi tuendelee katika hali ya utulivu, amani na mshikamano? Je huu ni wakati wa kusalimu amri na kukubali kile ambacho kimetuangukia na kuwa yote ni "mapenzi ya Mungu"? Je unajihisi kukata tamaa ukiangalia mambo yanayoendelea katika nchi yetu?

[ Wed, 11 Jun 2008 05:42:38 GMT ]


Listen

Download



Listen on your iPhone






Hipsters United

News, speculation, and discussion about The Smashing Pumpkins, their music, and their legacy. http://www.hipstersunited.com


Homegrown mix

A mix of the best unsigned black music from the UK. 1Xtra?s Ras Kwame mixes up the hottest new tracks every week. 1Xtra is a BBC digital radio station. It plays the best in contemporary black music, with a strong emphasis on live music and supporting new British artists. For more info and the podcast Terms of Use go to www.bbc.co.uk/1xtra


Asian Network Film Cafe

Film Cafe - the latest news, reviews and star interviews from the world of Bollywood, with Raj & Pablo on the BBC Asian Network


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us