Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : Sauti ya Mwanakijiji

Sauti ya Mwanakijiji

Language: Unknown
Category: News and Politics /
Visit Website

-

Sauti ya Mwanakijiji|Exclusive: Mhe. Anne Kilango Malecela azungumza na KLHN Episode

Tulikokuwa tunaenda siko, tumeamua kugeuka" - hayo ni baadhi ya maneno ya Mhe. Anne Kilango Malecela akizungumza na KLH News siku chache zilizopita akielezea mabadiliko ya wabunge wa CCM linapokuja suala la kulinda maslahi ya Taifa. Kati ya mambo ambayo anayazungumzia ni pamoja na hali ya kisiasa nchini, kifo cha Ballali, kwanini wabunge wa CCM walikuwa wanaitetea serikali yao hata ilipokuwa inaharibu, kwanini anaamini Kikwete ni kweli anataka mabadiliko na masuala mengine kemkem. Mahojiano yangu hayo na Mhe. Anne Kilango Malecela (CCM - Same Mashariki) yatarushwa siku ya Ijumaa kupitia KLH News International na pia tunatarajia yataweza kusomwa kwenye mojawapo ya magazeti ambayo yamekubali kutupa nafasi. Mimi niko impressed na watu mara chache sana.. this is one of those times

[ Thu, 29 May 2008 16:52:15 GMT ]


Listen

Download



Listen on your iPhone







Wade E. Butler
Philosophy
Orthodoxy Transforming offers a collection of short (10 minutes or less per episode) easy-to-understand guided teaching describing a new sort of spirituality which merges orthodox Christianity with Universal spirituality and practices. Orthodoxy Transforming seeks to offer at least part of the solution of the re-adaptation of the Christian Church to the modern era of spiritual transformation.


Hipsters United

News, speculation, and discussion about The Smashing Pumpkins, their music, and their legacy. http://www.hipstersunited.com


Press Start
Video Games
The weekly podcast for gaming news, impressions, reviews, and alcohol fueled rants as delivered by Richey and Schlep. Live recording and pre-show take place 11:00 PM CST at justin.tv/pressstart.


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us