Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : News and Politics : News and Politics

Sauti ya Mwanakijiji

Network:
Language: Unknown
Category: News and Politics / News and Politics
Visit Website

-


RSS FeedView RSS | RSS FeedView in iTunes

Previous1 2 3 4 5 6 NEXT

Taarifa ya Habari Juni 10, 2009

Ifuatayo ni taarifa ya habari ya saa mbili za Usiku Juni 10, 2009 kwenye TBC...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 10 Jun 2009 17:40:01 GMT ]



Uvamizi na Uharibifu Arumeru: Mahojiano na Mhe. Kimaro

Kwa usiku kucha kundi la wahuni waliojibatiza jina la "wanakijiji" na kutuchafua wengine walivamia eneo la Mhe. Aloyce Kimaro (Vunjo-CCM) na kuharibu mazao na kuchoma nyumba na kuiba mali mbalimbali, walifanya hivyo kwa kile ambacho gazeti la Mwananchi limeelezea kuwa "wanadai kwamba, kwa kuwa shamba hilo liko katika eneo lao wangepewa ili walitumie kwa shughuli mbalimbali ikiwemo kujenga shule, hivyo kitendo cha serikali kuliuza kwa mtu wa nje ya kijiji hicho ni kunyanganya haki yao." Kitendo ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 09 Jun 2009 05:15:17 GMT ]



Maoni yangu Juu ya Busanda kwenye Star TV

Siku ya Jumamosi nilialikwa kuwa mmoja wa wachangiaji katika kipindi cha "Tulonge Asubuhi" kinachorushwa na Star TV Jijini Mwanza. Mada kuu ilikuwa tulilojifunza kutokana na Uchaguzi mdogo wa Busanda. Wachangiaji wengine ambao nao walipata nafasi ya kuchangia kwenye onesho hilo la asubuhi ni pamoja na Erasto Tumbo (Chadema), na Amos Makalla (CCM) pamoja na wapiga simu wengine. Ni matumaini nitaendelea kupata nafasi kama hii ili kuendelea kuchochea mabadiliko ya kifikra ambayo mara zote hutan...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Mon, 08 Jun 2009 04:43:15 GMT ]



Kule tulikotoka, ndiko kule kwa Chinova?

Unaweza kusikiliza kwa kudownload kutoka hapa au kusikiliza moja kwa moja kwa kubonyeza "play" chini hapa. http://www.box.net/shared/qfp38sfr3n Ukisikiliza usiniulize, na wala usimwambie mtu mwingine. For your Ears Alone! M.M....

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Mon, 18 May 2009 06:02:45 GMT ]



Uongozi na Maendeleo: - Sauti kutoka Ahera

Ningeweza kukuambia kilichomo lakini sitakutendea haki; itabidi usikilize mwenyewe. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 08 May 2009 04:25:08 GMT ]



Nani ashinde, nani ataamua mshindi?

Ni mgongano wa kihistoria ambao ulipaswa kutokea. Ni mgongano ambao hutokea mahali popote panapokuwa na tofauti kubwa kati ya watawala na watawaliwa. Ndivyo ilivyokuwa kwenye Mapinduzi ya Ufaransa, Mapinduzi ya Marekani na Mapinduzi ya Bolshevik (Urusi). Ni yale yale yaliyotokea na kusababisha mapinduzi ya Cuba yaliyomuingiza Castro madarakani. Ndiyo! Ni yale yale yaliyotokea pia kwenye mapinduzi ya Zanzibar! Migongano ya namna hiyo asili yake mara zote ni pale wananchi wanapotambua kuwa hawa...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 07 May 2009 04:42:19 GMT ]



Mlipuko 511KJ Mbagala: Majanga na kuishi kwa kudra!

Kwa namna fulani tunaamini kuwa sisi tuna upendeleo wa aina fulani kwa Mwenyezi Mungu, kwamba nchi yetu kwa sababu upendeleo wa pekee basi haitapata majanga. Hatujajifunza kwa ajali zinazotea mara kwa mara za mabasi, hatujajifunza kwenye ajali za majini, hatujajifunza kwenye milipuko ya mabomu na kwa hakika tuko kama tumepigwa ganzi ya aina fulani hivi. Pamoja na kutoa pole na rambirambi, ni lazima tujiulize tutaendelea mpaka kulini kwa kutegemea rehema za Mungu? Sitoshangaa leo tutaambiwa kat...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 30 Apr 2009 06:32:49 GMT ]



Mahojiano na Mhe. Lucas Selelii (Nzega) - "Mmekula hamshibi?"

Salaam, Tumepata nafasi ya kuzungumza kwa kirefu na Mhe. Lucas Selelii Mbunge wa Nzega, miongoni mwa wabunge wenye msimamo wa kimabadiliko na miongoni mwa vinara wa vita dhidi ya ufisadi ndani ya CCM na katika Taifa. Tafadhali hakikisha unasoma sehemu ya ahadi yetu kwani tuna ujumbe muhimu kwa wasomaji wetu na wanachama wetu. Ungana nasi pia kwenye mijadala motomoto kwenye forum yetu ya http://www.mwanakijiji.com ambapo mojawapo ya mijadala ya kina ni suala la Rais wa zamani Mzee Ally Hassan ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 11 Mar 2009 06:21:20 GMT ]



Mahojiano na Mhe. William Ngeleja kuhusu Dowans

Mpango wa serikali kutaka kuyanunua majenereta ya kuzalisha umeme ambayo yaliletwa nchini na Kampuni ya Dowans katika mkataba wake na kampuni feki iliyoumbuliwa ya Richmond hautokani na kulazimika kufanya hivyo bali hali halisi ya hali ya nishati nchini ndiyo inalazimisha serikali kupanga kuchukua hatua hiyo. Hayo yamesemwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe. William Ngeleja alipozungumza na tovuti hii hapo jana kuelezea kile ambacho kinaonekana mgongano wa kimtazamo kati ya Wizara, kamati mbili...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 03 Mar 2009 06:08:48 GMT ]



Kwanini Masha bado Waziri?

Natamani ningeweza kusema kwa nguvu ninachosema kisema hapa. Natamani ningekuwa na sauti kubwa zaidi kuweza kusikika kuhusu mauaji ya Leticia Bahati siku tatu zilizopita. Ninachojiuliza ni kwanini Masha bado ni Waziri wa Mambo ya Ndani? Lakini kuna maswali makubwa zaidi ya hilo ambayo ninayauliza leo kwenye "Nguvu ya Hoja"! Sikiliza. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 20 Feb 2009 06:25:37 GMT ]



Pinda aangusha kilio, akwepa kujibu swali!

Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda ametumia nafasi yake ya kujibu maswali Bungeni kugusa hisia za wabunge kwa kuonesha uchungu uliomgusa kufuatia mauaji ya maalbino ambayo yamekuwa yakiendelea nchini. WM Pinda alimwaga machozi hayo baada ya kuulizwa kuhusu kufafanua kauli yake iliyotaka watu watakaoshukiwa au kutuhumiwa mauaji ya albino na wao kuuawa hapo hapo. Alipoulizwa kwanini ahalalishe mauaji hayo na kwanini atoe kauli zinazonesha kukikanzina na utawala wa sheria na Katiba ambao ni msingi wa...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 30 Jan 2009 06:59:31 GMT ]



Mwakyembe aunguruma "Mashtaka yanayoletwa ni mepesi"

Mbunge wa Kyela na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Mhe. Dr. Harrison Mwakyembe amesema kuwa mashtaka mbalimbali yanayoletwa hivi sasa dhidi ya watuhumiwa mbalimbali wa ufisadi bado ni "mepesi" na anatajia kuwa baada ya uchunguzi kufanyika zaidi mashtaka hayo yatabadilishwa na kuwa mazito yakiwemo yale ya sheria ya Uhujumu uchumi.Hayo na mengine mengi ameyasema katika mahojiano yake na KLHN ya mwanakijiji.com ambayo yalirushwa moja kwa moja siku ya Jumapili. Unaweza kuyasikiliza mahojia...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 28 Jan 2009 06:03:17 GMT ]



Utetezi wangu wa Sofia Simba

Nikiri ya kwamba nimesikitishwa na kushangazwa sana na baadhi ya ukosoaji wa Mhe. Simba kufuatia mahojiano yangu naye siku chache zilizopita. Kilichonisikitisha zaidi ni jinsi gani baadhi yetu tuna angalia vitu ambavyo si vya msingi na kuviacha vya msingi; kilichonishangaza zaidi ni jinsi gani wengine wamekuwa wa kali kiasi cha wao wenyewe kuwa kile wanachomtuhumu Mhe. Simba.. arrogance! Katika mahojiano yangu na watu mbalimbali (kama Dr. Migiro, Dr. Salim, na wengineo) sijawahi kujaribu kumte...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 16 Jan 2009 05:28:00 GMT ]



Mahojiano na Mhe. Sofia Simba

Mojawapo ya chaguzi ambazo zimekuwa na mvuto wa muda mrefu ndani ya CCM ni ule uliofanyika mwishoni mwa juma lililopita ambapo Mwenyekiti mpya wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM (T) alipatikana. Mshindi huyo si mwingine bali Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Sofia Simba. Safari ya ushindi wake ilikuwa ni safari ambayo wachache wako tayari kuipitia. Ilikuwa ni safari ambayo unapofika mwisho inabidi ujiuliza ulianzaje safari hiyo. Hivyo KLHN ilipata nafasi ya kuzungumza naye kwa kirefu kuhusu ushin...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 14 Jan 2009 03:40:38 GMT ]



Exclusive: Dr. Slaa azungumzia yaliyojiri Mbeya Vijijini

Mwishoni mwa mwaka jana nilipata nafasi ya kuzungumza na Bongoradio.com kuhusu masuala mbalimbali ya kufunga mwaka. Ninawaletea sehemu kidogo ya mahojiano hayo pamoja na mahojiano niliyoyafanya na Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu-Chadema) kuhusu kilichosababisha mgombea wao msomi mwanasheria Bw. Sambwee Shitambala kushindwa kufuata taratibu rahisi za kuapa kabla ya kushirki uchaguzi huo mdogo. Baada ya kusikiliza mahojiano hayo piga kura na upande wa kulia wa tovuti hii na utoe maoni yako ni nini ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 07 Jan 2009 03:43:55 GMT ]



Mwaka 2008: Mwaka watawala walipopigishwa magoti!

Mwaka wa 2008 ndiyo huo umefikia ukingoni. Na pamoja nao ni matamu na machungu yote, furaha na huzuni, kicheko na kilio! Ni mwaka ambao umeweka historia nyingi katika nchi yetu na nje ya nchi! Hata hivyo ya nchi nyingine tutawaachia wengine, lakini kwetu sisi wenyewe tunaweza kusema pasipo shaka yoyote ile kuwa mwaka huu ulioisha ni mwaka ambapo watawala walipigishwa magoti na watawaliwa! Jinsi gani unaweza kuuliza; sikiliza tafakari yangu ya kufunga mwaka 2008. Nakutakia wewe na vyote viliv...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 31 Dec 2008 07:06:28 GMT ]



Tutaka kujitawala au tulibadilisha watawala?

Tulipodai haki yetu ya kuwa watu huru tulidai ili baadaye kiwe nini? Tulipoona fahari bendera ya Ufalme wa Uingereza ikiteremka taratibu usiku ule wa kukumbukwa na ya Tanganyika huru ikapindishwa tulikuwa tuna njozi ya aina gani ya Taifa? Siku ile wazee wetu walipocheza kwa furaha na kushangilia kuwa "na sisi ni huru" walikuwa wanafurahia uhuru hasa kutoka kitu nani na kwa nini? Je yawezekana kile tulichoshangilia wakati ule, miaka 47 iliyopita sicho ambacho tunacho leo hii? Je njozi zile za w...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 10 Dec 2008 04:10:44 GMT ]



Julius Mtatiro azungumzia kukamatwa na Polisi kwa Uchochezi!

Mara baada ya kupata dhamana katika kesi yake ya uchochezi iliyofunguliwa mjini Dar, Bw. Julius Mtatiro alipata nafasi ya kuzungumza nasi kupitia KLHN kwa kirefu kuhusu sakata zima la kukamatwa kwake na madai mbalimbali yaliyozunguka tukio la kukamatwa na muda aliokuwa mikononi mwa Polisi. Je ni kweli aliteswa, Je alikataliwa mwanasheria, na je anahusika vipi na migomo inayoendelea kiasi cha kufunguliwa mashtaka mazito kama haya? Sikiliza majibu kupitia MWANAKIJIJI.COM au KLHN (site zote mbili ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 20 Nov 2008 06:15:42 GMT ]



Remembering Mama Africa Miriam Makeba - Malaika

South African singing legend and activist "Mama Africa" Miriam Makeba's great grandchild Lindelane (L) says farewell to her after her coffin arrived at Johannesburg's OR Tambo Airport from Italy, where she died age 76. South African President Kgalema Motlanthe on Wednesday declared a period of national mourning for music legend and anti-apartheid activist Makeba. (AFP/DFA/Jacoline Prinsloo) Join us at: http://www.mwanakijiji.com...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 14 Nov 2008 04:50:19 GMT ]



Taarifa ya Maendeleo ya msiba wa Ndali Nzaro

Kwa heshima kubwa na Taadhima wana Familia ya Nzaro waliopo Detroit Michigan wakiongozwa na Da Mboja Nzaro na Mwamvita Nzaro pamoja na rafiki wa kike wa Marehemu Saada Ali, wanapenda kutoa shukrani za dhati kabisa kwa niaba ya familia nzima ya Nzaro iliyoko nyumbani Tanzania pamoja na jamaa na ndugu wote kwa mwitikio mkubwa kutoka sehemu mbalimbali wa rambirambi, maneno ya faraja na misaada ya hali na mali iliyotolewa mpaka sasa. Tunashukuru vyombo mbalimbali vya habari na hasa mitandao mbalimb...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Mon, 20 Oct 2008 04:25:09 GMT ]



Serikali yaipiga mkwara Mwanahalisi, Kubenea ajibu hoja!

Kwenye ukurasa wa mbele kuna habari iliyozua kasheshe Tanzania. Habari hii ilitoka kwenye gazeti la Mwanahalisi la Jumatano la kupokelewa kwake kumekuwa na hisia za aina yake kwani siku ya pili yake Wizara ya Habari, Utamaduni na Michezo iliandika barua kwa Mwanahalisi kutaka maelezo juu ya habari hiyo ambayo kwa maoni ya serikali inaonekana ni kiuchochezi na kiuchonganishi. Watu wa serikali wanaona kuwa habari hiyo ilikuwa na lengo la kumchonganisha Rais na viongozi wenzake wa CCM hasa Mhe. Edw...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 10 Oct 2008 05:47:03 GMT ]



Juu ya vifo vya Watoto 20 Tabora, siku ya Idi Mosi.

Bila ya shaka utakuwa umeshasikia na kugushwa na habari za vifo vya watoto wapatao ishirini waliokuwa siku ya Idi huko Tabora kwenye ukumbi wa Muziki kutokana na kukosa hewa na kukanyagana wakitafuta kutoka ukumbini humo. Hii ni sehemu ya kwanza ya maoni yangu, sehemu ya pili itakuwa kwenye gazeti siku ya Jumapili. Ni lazima tukasirike....

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 03 Oct 2008 05:14:11 GMT ]



Mahojiano na Nape Nnauye kuhusu kusimamishwa Uanachama

Nape Nnauye ni mgombea wa nafasi ya Uenyekiti wa Taifa wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM). Nafasi hiyo inagombewa na vijana wengine 27. Miezi michache iliyopoita Bw. Nnauye alianzisha mjadala mkubwa pale alipodai hadharani kuwa taratibu za kuingia mkataba wa Jengo la Umoja wa vijana zilikiukwa na mkataba wenye haukuwa na faida kwa umoja wa vijana. Akasema hadharani kuwa aliyewahi kuwa Waziri Mkuu Bw. Edward Lowassa pamoja na Uongozi wa Umoja huo akiwemo Mwenyekiti wa sasa Bw. Nchimbi w...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 09 Sep 2008 04:54:10 GMT ]



Cheche mitaani Septemba 2

Toleo jipya la "Cheche za Fikra" liko mitaani. Jipatie nakala yako kupitia http://www.klhnews.com ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 02 Sep 2008 11:46:16 GMT ]



KLHN Exclusive: Dr. Slaa ajibu hotuba ya Rais Kikwete

Mara baada ya hotuba ya Rais kwa Wabunge siku ya tarehe 21 August 2008 KLHN Ilipata nafasi ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama Chade Demokrasia na Maendeleo Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) kuhusu mtazamo wake kuhusu hotuba hiyo. Ifuatayo basi ni sehemu kidogo ya hotuba ya Rais na mahojiano kamili na Dr. Slaa....

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 22 Aug 2008 16:10:18 GMT ]



Leo ni Siku ya Bajeti - Jisomee kabla ya kusikia!

Leo ni siku ya Bajeti. Waziri wa Fedha Bw. Mustafa Mkullo anatarajiwa kusoma bajeti hiyo leo na hivyo kuonesha ni wapi tumefika toka mwaka uliopita na wapi tunataka kwenda katika mwaka ujao wa fedha. Nimepata nafasi ya kupata nakala ya bajeti hiyo ambayo inapatikana hapa: http://www.jamiiforums.com/attachment.php?attachmentid=1680&d=1213211256 Tafadhali copy and paste kwenye browser yako. Nimatumaini yangu mtapata nafasi ya kuipitia kabla hamjaisikia. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 12 Jun 2008 05:41:04 GMT ]



Huu si wakati wa kukata tamaa!

Bila ya shaka mlolongo wa matukio kadha wa kadha unaweza kumfanya mtu yeyote kushika tama na kukata tamaa. Hasa inapotokea matukio ambayo yanaihusu nchi yetu. Msururu wa kashfa ambazo zimeiandama nchi na viongozi wetu bila ya shaka vinaweza kukufanya ujisikie mpweke na mnyonge na zaidi kuweza kujiuliza "Tanzania ina matatizo gani?". Kwa wengine kujiuliza swali hili kunaendana na hisia ya kuachwa peke (abandonment) na kukata tamaa (despair). Na zaidi ya yote kuna wengine ambao wanaweza kujihisi...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 11 Jun 2008 05:42:38 GMT ]



Exclusive: Mhe. Anne Kilango Malecela azungumza na KLHN

Tulikokuwa tunaenda siko, tumeamua kugeuka" - hayo ni baadhi ya maneno ya Mhe. Anne Kilango Malecela akizungumza na KLH News siku chache zilizopita akielezea mabadiliko ya wabunge wa CCM linapokuja suala la kulinda maslahi ya Taifa. Kati ya mambo ambayo anayazungumzia ni pamoja na hali ya kisiasa nchini, kifo cha Ballali, kwanini wabunge wa CCM walikuwa wanaitetea serikali yao hata ilipokuwa inaharibu, kwanini anaamini Kikwete ni kweli anataka mabadiliko na masu...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 29 May 2008 16:52:15 GMT ]



Wabunge wahoji kifo cha Ballali

Hii ni marudio ya show tuliyofanya siku ya Jumapili. NI sehemu tu ya onesho hilo. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Mon, 26 May 2008 16:08:15 GMT ]



Gov. Balali Afariki Dunia

Aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Dr. Daud Balali amefariki dunia. Habari ambazo zimeanza kusikika tangu jana jioni na kuthibitishwa na ndugu zake zimesema kuwa Gavana Balali amefariki mwishoni mwa juma na mipango ya mazishi inafanywa. Anatarajiwa kuzikwa huko huko Marekani. Inatarajiwa taarifa ya kifo chake kutangazwa Tanzania baadaye leo. Sikiliza matangazo kuhusu kifo hicho hapa au kwa kutwa nzima ya kesho tutakuwa tunaleta maendeleo yoyote ya habari hii kwenye tovuti yetu ya htt...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 21 May 2008 04:46:54 GMT ]


Previous1 2 3 4 5 6 NEXT




Hipsters United

News, speculation, and discussion about The Smashing Pumpkins, their music, and their legacy. http://www.hipstersunited.com


Homegrown mix

A mix of the best unsigned black music from the UK. 1Xtra?s Ras Kwame mixes up the hottest new tracks every week. 1Xtra is a BBC digital radio station. It plays the best in contemporary black music, with a strong emphasis on live music and supporting new British artists. For more info and the podcast Terms of Use go to www.bbc.co.uk/1xtra


Asian Network Film Cafe

Film Cafe - the latest news, reviews and star interviews from the world of Bollywood, with Raj & Pablo on the BBC Asian Network


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us