Internet Radio Podcast Directory Radio Playlists

By Keyword

By Location

By Genre

By Popularity
Trumix.com : Podcast : News and Politics : News and Politics

Sauti ya Mwanakijiji

Network:
Language: Unknown
Category: News and Politics / News and Politics
Visit Website

-


RSS FeedView RSS | RSS FeedView in iTunes


"Kilichofanyika ni kichekesho cha Demokrasia" - Dr. Slaa

Nimepata nafasi ya kuzungumza na Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo na Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni Mhe. Dr. Wilbroad Slaa (Karatu) kuhusu kusimamishwa kwa Mhe. Zitto na pia kuhusu yeye kuondoa Bungeni hoja yake binafsi kuhusu Benki Kuu ya Tanzania. Sikupata muda wa kufanyia editing, mixing n.k kutokana na matatizo ya kompyuta za KLH News. Hivyo naweletea jinsi ilivyo, uncut, and unedited. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 16 Aug 2007 21:39:31 GMT ]



Kamati Teule yakataliwa - Zitto Apigwa Stop!

Mbunge machachari wa Kigoma Kaskazini Mhe. Zitto Kabwe (Chadema) ambaye aliamua kuleta hoja Bungeni ya kuundwa Kamati Teule ya Bunge ili kuchunguza jinsi Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Nazir Karamagi alivyoweza kwenda Uingereza kutia sahini mkataba mpya wa uchimbaji wa madini kabla ya kumalizika upitiaji wa mikataba iliyopo kama ilivyoagizwa na Rais. Hoja hiyo inaonekana imewagawa wabunge kufuatana na itikadi za vyama vyao. Kubwa ambalo inaonekana kuwa limewaudhi baadhi ya wabunge ni madai y...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 14 Aug 2007 16:55:28 GMT ]



Mabadiliko Bodi ya Mikopo - kutapatapa kwa Msolla?

Wote bila ya shaka mmeshasikia juu ya mswada wa vyombo vya habari, na sitashangaa kuwa mmewahi kusikia sheria mpya ya rushwa. Lakini ni wangapi wamesikia kuhusu mswada wa sheria ya mabadiliko ya Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu? Ni wangapi wanajua kuwa mswada huo ulitangazwa kwenye gazeti la serikali mwezi Juni? Hakuna kitu kibaya kama serikali inayofanya mambo kisiri siri. Hatimaye, tunafahamu kuhusu mswada huo, na leo nachambua mapungufu yake na kunionesha ni jinsi gani kina Msolla ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 14 Aug 2007 01:55:03 GMT ]



Kaboyonga Ambana Waziri Meghji kuhusu BOT!

Mapema leo Bungeni, Mbunge wa Tabora Mjini Mhe. Siraju Juma Kaboyonga alimbana Waziri wa Fedha Mhe. Zakia Meghji kuhusu gharama za ujenzi wa minara miwili ya benki kuu inayoendelea kujenga ambayo mpaka hivi sasa imegharibu mabilioni ya shiling. Majibu ya Waziri Meghji yamezua maswali mengi zaidi na inaonesha kuwa kuna kitu kinachoendelea. Pia ninawaletea hadithi yangu mpya iitwayo VIVIAN - PETE YA MACHOZI...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 10 Aug 2007 17:23:46 GMT ]



Inaudhi serikali inapojifanya mwalimu wa uandishi!

Wakati wa mjadala wa bajeti ya Wizara ya Habari, Michezo na Utamaduni jambo moja lilikuwa dhahiri. Wabunge wengi walijifanya wao ndio walimu wa waandishi wa habari kwa kutoa hoja ambazo bila ya shaka zilionsha upeo wao mdogo wa uhuru, haki, na ,majukumu ya vyombo vya habari. Hata wakati Waziri Mohammed Seif Khatib (Pichani) alipojumuisha hoja za wabunge na kutoa majibu ya maswali yao mbalimbalil alionekana mwenye kuzungumza kana kwamba serikali ndiyo pekee inayojua Uandishi ni fani ya namna gani...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 09 Aug 2007 03:58:29 GMT ]



Hoja za Uraia wa nchi mbili tuzikubali?

Kwa muda mrefu sasa mjadala wa uraia umekuwa ukiendelea nchini. Hoja hizo ambazo zinalengo la kubadili sheria ya Uraia nchini zimepata mtetezi mkubwa Bungeni ambaye ni Mbunge wa Singida Kaskazini Mhe. Lazalo Samuel Nyalandu (Pichani)ambaye kutokana na kuishi kwake nje ya nchi kwa muda mrefu ameweza kuwakakilisha mawazo ya watanzania wengi walioko ugenini ambao wanataka Tanzania ibadili sheria yake ya Uraia. Hata hivyo, je hoja zinazotolewa ni nzito kiasi cha kuweza kufanya Tanzania iruhusu uraia...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 07 Aug 2007 04:58:20 GMT ]



Tanzania inahitaji Katiba Mpya au Mabadiliko tu ya Sheria?

Mjadala umefunguliwa, ili kujenga jamii yenye haki zaidi na usawa zaidi mbele ya sheria na kuwa na mfumo wenye usawa zaidi katika siasa za nchi yetu je, Tanzania tunahitaji Katiba Mpya au tufanye tu mabadiliko kwa kuzingatia mapendekezo ya Tume ya Jaji Nyalali na tume ya Jaji Kisanga....

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 01 Aug 2007 04:48:16 GMT ]



CCM iliahidi kutatua suala la Kadhi - Itaweza?

Jana Bungeni suala la mahakama ya kadhi mkuu wa Tanzania liliibuliwa tena katika jitihada za wapinzani kuitaka serikali ya CCM kutimiza ahadi yake ya kulitafutia ufumbuzi suala hilo kwa maislahi ya waislamu wa Tanzania. Je hoja zinazotolewa zinaridhisha? Je majibu yanayotolewa na serikali ya CCM yanatosheleza? Je kwa kuzingiatia mazingira ya Tanzania bara na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania mahakama ya kadhi yaweza kuundwa bila kuleta mgongano wa kisheria au kimahusiano ya kidini? Ni...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 31 Jul 2007 05:02:33 GMT ]



Hatima ya waliokanwa Ukraine kujulikana leo?

Tafadhali tembelea tovuti hii kutwa nzima wakati tunafuatilia hotuba ya Waziri wa Sayansi, Teknolojia na Elimu ya Juu Mhe. Prof. Peter Msolla. Nina uhakika kuwa suala la vijana hawa kama halitakuwemo kwenye bajeti basi litakuwemo wakati wa majadililiano ya Bunge kama Kamati ambapo wabunge hupitia bajeti vifungu kwa vifungu. NI matumaini yangu kuwa leo jambo hilo litafikia mwisho wake kwa Bunge kuingilia kati na kuwaingiza vijana hawa kwenye bajeti ya mwaka huu na kuwafanya waendelee na masomo. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 20 Jul 2007 05:21:45 GMT ]



Upotevu wa Mabilioni Benki Kuu, Mrema alisema kweli?

Madai ya upotevu wa mabilioni ya fedha toka Benki Kuu hayakuanza leo. Kwa wale wanaokumbuka watakumbuka kuwa madai ya upotevu wa mabilioni ya fedha ilikuwa ni mojawapo ya mambo ambayo yalimuengua Bw. Augustino Mrema toka serikali CCM na baadaye kujikuta akiwa upinzani Miezi michache kabla ya kuibuka tena kwa tuhuma za kupotea mabilioni ya fedha nilizungumza na Bw. Mrema kuhusu mambo mbalimbai yaliyokuwa yakimhusu yeye kisiasa na kiuongozi. Haya ni mahojiano yangu naye ambapo anatumia muda mrefu ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 13 Jul 2007 05:16:21 GMT ]



Tuwaachie Nchi watawala wetu?

Tangu mtiririko wa kashfa uanze kuiandama serikali ya Tanzania hakuna hatua hata moja ya uhakika iliyochukuliwa kukabiliana na tuhuma hizo na hakuna mtu yeyote ambaye amewajibishw kwa kulisababisha Taifa hasara zisizo za lazima. Kuanzia kashfa kubwa ya Loliondo, IPTL, Ndege ya Rais, Tanesco, TTCL, KIA, Tanesco, Dawasa, Madini, Richmond, BOT na sasa Helikopta za kijeshi, serikali yetu imetia pamba masikioni kiasi cha kwamba haitaki kuambiwa wala kusikia. Hoja zinazotolewa Bungeni na wapinzani ni ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Sun, 08 Jul 2007 21:56:45 GMT ]



Twawapa Notisi watawala wetu! - Tanzania waliyoizoea...

Bunge hili halitakuwa kama mabunge mengine yaliyotangulia na huko tunakokwenda kutakuwa na mambo mengi zaidi ya kulifanya Bunge hili lichangamke na kuwajibika. Ni kwa sababu hiyo basi kitendo cha Dr. Slaa kuwasomea taarifa ya tuhuma ya umafia wa baadhi ya viongozi wetu ni kitendo ambacho kimewashtua watawala wetu na mshtuko huo ulijionesha kwa sura zao. Walipigwa na butwaa na mshangao kama watu waliojikuta wakinyeshewa na mvua na hapakuwa na pakukimbilia isipokuwa chini ya mwembe. Wakiwa wamej...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 21 Jun 2007 05:28:48 GMT ]



Dr. Slaa Azua Bungeni suala la Mafia wa Tanzania!

Jana Bungeni, Mbunge wa Karatu Mhe. Wilbroad Slaa amezungumzia kuhusu ripoti ambayo imekuwa ikisambazwa kwenye mtandao kuhusu kundi la wahalifu wakimataifa ambao wamejikita katika utawala wa serikali na wameshirika vilivyo katika mikataba mbalimbali na masuala mbalimbali ambayo yameisababisha serikali yetu "kupoteza" mabilioni ya shilingi. Kama ripoti hiyo ina ukweli au la ni uamuzi wa msomaji mwenyewe. Vinginevyo, inawezekana kuwa amefungua kisanduku cha Pandora ambacho hawezi tena kukifunga. J...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 19 Jun 2007 23:00:41 GMT ]



Umepata matumaini?

Waziri wa Fedha Mhe. Zakia Meghji (pichani) amewasilisha bungeni bajeti ya serikali ya mwaka 2007/2008. Bajeti hii ni ya makadirio ya mapato na matumizi ya serikali kwa mwaka huu mpya wa fedha. Wakati bajeti ya mwaka jana ilikuwa kali kwa wananchi na kwa vile ilikuwa ni bajeti ya kwanza ya utawala wa Rais Kikwete basi makosa ya hapa na pale na mapungufu ya hapa na pale yalitarajiwa. Mwaka mmoja baadaye matarajio ya watu yako juu zaidi kuwa Bajeti hii itakuwa ni ya kumpa nafuu mwananchi wa kawaid...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 15 Jun 2007 05:44:28 GMT ]



Dr. Noordin Jella "Serikali iunde tume Huru"

Kati ya watu wote waliokwisha zungumzia suala hili la vijana Ukraine hakuna mwenye mtazamo wenye kutupa mwanga zaidi kama Dr. Noordin Jella. Yafuatayo ni mahojiano yangu naye na katika mahojiano hayo anapendekeza Rais aunde tume huru itakayochunguza ukweli wa jambo hili na kuhakikisha kuwa kama vijana hawa kweli walipewa mikopo na ilitakiwa iwafuate huko Ukraine wao wakitangulia, basi haki yao wapewe. Kama kuna makosa yalifanyika kati ya Dr. Jella au Wizara, vijana hawa wasiadhibiwe kwa "vita v...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Thu, 14 Jun 2007 05:26:48 GMT ]



Wabunge na Bunge "Lao"..

Bunge la Jamhuri linaanza kikao chake cha bajeti hivi karibuni. Kuna mambo kadhaa ambayo yanaendelea yanayolihusisha Bunge hili ambayo kwa kweli yanatufanya tujiulize kama kweli Bunge letu lina ubavu wa kuisimamia serikali au wajibu wake ni kujiongezea posho na marupurupu tu. - Kujiongezea posho ya mafuta ya shilingi milioni 480 kwa mwezi wa wabunge ni halali kweli? - Kufungia vyombo vya habari kwenye mikutano ya Kamati za Bunge, wanataka kuficha nini? nyongeza ya posho? - Kuacha serikali iwaf...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 12 Jun 2007 16:52:17 GMT ]



Exclusive: Mabinti Ukraine nao Wazungumza!

Tumeshawasikia kina kaka wakielezea hali yao huko Ukraine baada ya kutekelezwa na serikali. Je dada zao nao waliotelekezwa huko wanasemaje? Licha ya serikali kuwakana vijana hawa wote bado wanahitaji msaada wetu, msaada wa mtu yeyote mwenye mapenzi mema na anayewataki mema vijana hawa. Tafadhali ili kupata maelezo jinsi ya kuwasaidia: Bonyeza Hapa...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Sat, 09 Jun 2007 09:13:37 GMT ]



Ridhiwani achukua fomu.. CCM inatengenezeana njia?

Je kitendo cha watoto wa viongozi wa CCM kama kama kina Nape Nnauye, Zainab Kawawa, Vita Kawawa, Adam Malima, Hussein Mwinyi n.k kuanza kushika nafasi za uongozi katika CCM na kile cha kina Ridhiwani na wenzake kutaka kuingia kwenye nafasi hizo ni jambo ambalo watanzania waliangalie kwa hofu kwani CCM wameanza kurithishana vyeo au tuwaache vijana hawa watelekeze haki yao ya kikatiba na tusiwahukumu kwa makosa au matendo ya wazazi wao? Pichani Ridhiwani Kikwete akichukua fomu huku Bagamoyo, Picha...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 08 Jun 2007 00:37:55 GMT ]



Prof. Mwandosya awakatalia wawekezaji Ngorongoro!

Kati ya vitu ambavyo hutokea mara chache Tanzania ni kitendo cha Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Profesa Mwandosha kumkatalia mwekezaji kujenga hoteli kwenye ukingo wa Crater ya Ngorongoro licha ya mamlaka nyingine husika kukubali mpango huo. Alichofanya Prof. Mwandosya kimenifanya nijiulize swali, hivi "kila anachotaka mwekezaji ni lazima apewe"? Je, kitendo hiki cha Mwandosha ni mfano wa mtu kujali nchi au ndio mazingaombwe yale yale?...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 05 Jun 2007 16:25:55 GMT ]



Watanzania mnaitwa, mtaitika? Serikali imekurupuka kujibu!

Serikali imetoa tamko lake na inaendelea kushikilia uzi ule ule wa kutowatambua vijana wetu waliokwama Ukraine. Hata hivyo, wakati umefika wa kuwasaidia vijana hawa kupitia akaunti iliyofunguliwa ili waendelee kusoma na si kurudishwa nyumbani wakiwa wameshindwa. Nimejibu hoja za serikali zilizotolewa jumatatu ambazo kwa kile zimeonesha hawakufuatilia suala hili kabisa na wamekurupuka tu kujibu kwa kusoma habari magazetini! Ili kuchangia hawa vijana tafadhali fuata maelekezo kama yanavyopatikana...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 30 May 2007 11:33:12 GMT ]



Flaviana, Ukraine, na Viongozi wetu!

Leo sitaki kusema mengi, kwani maneno mengi wakati mwingine huchosha. Hakikisha unampigia kura binti yetu Flaviana Matata. Why? pick any reason!...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 29 May 2007 21:46:14 GMT ]



Kikwete: "Kama (wizara) wangeshindwa wangeniambia!"

Hatimaye jana jumatano, ubalozi wa Uingereza kule Kiev, Ukraine umepata majibu toka Ubalozi wa Uingereza Tanzania ambao walikuwa wanafuatilia suala hili la vijana 29 waliokatishwa masomo yao baada ya serikali kushindwa kutimiza ahadi ya kuwasomesha. Jibu lililopatikana toka Wizara ya Sayansi, Teknolojia na Elimu ya juu ni kuwa serikali haiwatambui vijana hao, haihusiki kuwarudisha nyumbani na lolote litakalowapata ni shauri yao. Baada ya kuhakikisha jibu hilo na Ubalozi huo, nilijikuta sina jins...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Tue, 29 May 2007 16:47:02 GMT ]



Wanafunzi kujisalimisha Ubalozi wa Uingereza, Ukraine!

Wanafunzi wa kitanzania wapatao 29 waliotelekezwa na serikali ya Rais Jakaya Kikwete kwenye vyuo vya nchini Ukraine hatimaye wameamua kufanya kile walichotishia miezi michache iliyopita, nacho ni kujisalimisha na kuomba hifadhi kwenye Ubalozi wa Uingereza jijini Kiev, nchini Ukraine. Ubalozi huo tayari umeshakubali kuwapokea vijana hao mapema asubuhi. Uamuzi huo umefikiwa baada ya serikali ya Tanzania chini ya Wizara ya Sayansi na Elimu ya juu kuwakana wanafunzi hao na kutowatambua licha ya kuwa...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Mon, 28 May 2007 14:07:26 GMT ]



Halmashauri ya Taifa ya CCM ina uwezo huu?

Wiki iliyopita iliripotiwa na vyombo vya habari kuwa Chama cha Mapinduzi kupitia Halmashauri yake Kuu ya Taifa kitaanza kuwaita na kuwahoji watendaji wa serikali ili kuona kama wanatekeleza vyema Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2005-2010. Kwa nje nje jambo hilo halina tatizo lakini tukiliangalia kwa karibu tutaona kuwa kama litaachwa kusimama basi Tanzania tunaanza kurudi nyuma kwenye mtindo wa Chama Kimoja cha siasa na ni hatari kwa mgawanyo wa madaraka ulioanishwa vyema kikatiba. Pichani, Ra...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Sun, 27 May 2007 04:20:21 GMT ]



Msolla ajiuzulu

Leo namuondolea uvivu Prof. Msolla. Soma makala yangu kwenye Tanzania Daima. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Sat, 26 May 2007 09:55:19 GMT ]



Nakulilia Nchi Yangu!

Siwezi kusema mengi kuhusu hili, sikiliza wewe mwenyewe!! ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Fri, 25 May 2007 01:11:59 GMT ]



Wazazi wa wanafunzi Ukraine Wazungumza! Sehemu I

Nimezungumza na baadhi ya wazazi wa wanafunzi ambao leo hii bado wanapiga kambi kwenye ya ofisi za Ubalozi wa Uingereza Ukraine. Wanafunzi hao wamegoma kuondoka hapo hadi serikali iseme na kutatua tatizo lao. Wazazi nao mioyo yao imevunjika na wana ujumbe wa wazi kwa Rais Kikwete. Binafsi nimetoa mchango wangu kidogo wa kuwasaidia kwa chakula na matumizi hawa wanafunzi 20 hadi suala hili litatuliwe. Wakati tunasubiri serikali itatue (siyo kushughulikia) tatizo hili natoa wito tena muungane nami ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Wed, 23 May 2007 11:07:39 GMT ]



TAKURU na Mkataba wa Richmond: Alichokwepa Hosea!

Wiki moja iliyopita, Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia Rushwa (TAKURU) Bw. Edward Hosea alitoa maamuzi kuhusu mkataba wa Richmond ambao serikali ya Rais Kikwete iliungia mwaka jana katika jitihada za kutafuta ahueni ya tatizo la nishati lililoikabili nchi yetu. Mkataba huu ulipoingiwa maswali mengi yaliulizwa na shutuma nyingi zilitolewa na mojawapo ya shutuma hizo ni kuwa kuna rushwa ilitumika. Bw. Hosea katika maelezo yake kwa vyombo vya habari alihitimisha mjadala huo kwa kusema kuwa "katika mc...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Sun, 20 May 2007 18:06:46 GMT ]



Wazazi wa wanafunzi wanazungumza Sehemu II

Ni maendelezo ya mazungumzo na wazazi wa vijana hawa. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Sat, 19 May 2007 14:28:01 GMT ]



Vita vya Mawaridi - Una mbavu? shikilia...

Leo nawapa burudani ya kituko kimoja toka katika moja ya radio za hapa US. Natumaini itawapa weekend nzuri. ...

MORE... | LISTEN | DOWNLOAD | MOBILE DEVICE

[ Sat, 28 Apr 2007 18:20:47 GMT ]







Wade E. Butler
Philosophy
Orthodoxy Transforming offers a collection of short (10 minutes or less per episode) easy-to-understand guided teaching describing a new sort of spirituality which merges orthodox Christianity with Universal spirituality and practices. Orthodoxy Transforming seeks to offer at least part of the solution of the re-adaptation of the Christian Church to the modern era of spiritual transformation.


Hipsters United

News, speculation, and discussion about The Smashing Pumpkins, their music, and their legacy. http://www.hipstersunited.com


Press Start
Video Games
The weekly podcast for gaming news, impressions, reviews, and alcohol fueled rants as delivered by Richey and Schlep. Live recording and pre-show take place 11:00 PM CST at justin.tv/pressstart.


  Powered by PenguinRadio & PodcastDirectory.com  |  About Trumix  |  Terms of use  |  FAQs  |  Contact Us